FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Asante kwa ushauriChukua hii View attachment 1504683
Mkuu nadhani gari ambazo hazili mafuta hazijafika hapa nchini.Wapendwa Nina milioni 12,ila nashindwa kufanya maamuzi,ninunue aina IPI ya gari na rangi IPI nzuri,wenye uzoefu mnaojua ambalo halili mafuta na siyo LA kuchoka haraka.asanteni.