Wajuzi wa malorry Lorry gani zuri kati ya DAF, SCANNIA, MAN, ACTROS au VOLVO,

Wajuzi wa malorry Lorry gani zuri kati ya DAF, SCANNIA, MAN, ACTROS au VOLVO,

Watery

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
2,718
Reaction score
3,471
Wajuzi wa haya mambo msaada tafadhali, najua kuna madereva na wabobezi wengi humu maana Youtube hainipi jibu sahihi ambalo ni udumu(reliability) na ulaji wa mafutaView attachment 1671789View attachment 1671790View attachment 1671791View attachment 1671792
T_tgx.jpg
 
mkuu usisikilize maneno ya watu, the most powerfull lorry kutokana na magari ulioyataja ni Volvo FH16 View attachment 1671848

Na chuma yenyewe ndio hiyo apo
Nina uzoefu wa magari wa zaidi ya miaka 20. Volvo si gari. Unaweza pata hata ya million 8. Tafuta actors mp2 ya million 20 kama utapata. Prime fuel anauza mp2 zilizo choka kwa usd 12000.
 
Nina uzoefu wa magari wa zaidi ya miaka 20. Volvo si gari. Unaweza pata hata ya million 8. Tafuta actors mp2 ya million 20 kama utapata. Prime fuel anauza mp2 zilizo choka kwa usd 12000.

Haya boss ngoja tuishie hapo , kusema ukweli me sina uzoefu wa magari kwa miaka 20 ila magari mazuri nayajua, labda niambie hiyo actros ambayo ni benz imezid nini kwa volvo, kinachofanya iwe expensive ni nini ?
 
Back
Top Bottom