Wajuzi wa malorry Lorry gani zuri kati ya DAF, SCANNIA, MAN, ACTROS au VOLVO,

Nipe link mkuu

Umebase sana kwa mabasi,ila niliona hapo kati walikua wanachambua ma malori kwa kiasi kikubwa
 
Ndugu, volvo ipe nafasi ya mwisho. 1 actors 2 scania 3 daf mwisho volvo
Kwanini Volvo iwe ya Mwisho mkula? Scania na Volvo zote ni mashine za Msweden and Volvo iko juu kwa quality dhidi ya Scania.

Ukiachilia hawa magwiji wa ma heavy-duty trucks ndio unakuja kwa hao wengine huko! Walioiga fani.
 
Nina uzoefu wa magari wa zaidi ya miaka 20. Volvo si gari. Unaweza pata hata ya million 8. Tafuta actors mp2 ya million 20 kama utapata. Prime fuel anauza mp2 zilizo choka kwa usd 12000.
Actros zina utumiaji mzuri wa mafuta, lakini zinataka matunzo hasa na spare genuine.

Mtu kama anataka aanze biashara ni Bora akaanza na Scania maana ina maisha marefu,mafundi wengi wanazijua,spare zinapatikana kila Kona. Na ndio gari ambayo inaweza kuvumilia mazingira yetu haya hata ukiokota spare pale Tabata Matumbi chombo kitaenda bila wasiwasi.
IMG_20210104_102619476.jpg
 
Kwanini Volvo iwe ya Mwisho mkula? Scania na Volvo zote ni mashine za Msweden and Volvo iko juu kwa quality dhidi ya Scania.

Ukiachilia hawa magwiji wa ma heavy-duty trucks ndio unakuja kwa hao wengine huko! Walioiga fani.
Mkuu Scania ipo vizuri zaidi sasa hivi iliyopo njiani nimeona G 460 ni kiboko nimeenda hapo wanapouza used ni rand 700,000 ya 2016 hiyo ni truck...hizo Actross tuachane nazo tutumie zilizopo nyingi kwetu ingawaje huyo mjerumani ana balaa zaidi...Scania haiwezi kukutupa hata upate R 420 inategemeana na kazi zako na iwe ya miaka ya karibuni tuu usinunue chakavu mno...
 
Mkuu hawa wakina R.K Chudasama na Isumba Maritime Transport mbona wanatumia Mercedes Benz Actros MP4 kufanya Kazi za trip town za kubeba kontena na wana fleet kubwa ya hizo Gari.

MP4 ikiwa used bei ni nafuu au wameamua kuchukua Gari zitakazo fanya Kazi muda mrefu zaidi?.
 
Back
Top Bottom