Wajuzi wa malorry Lorry gani zuri kati ya DAF, SCANNIA, MAN, ACTROS au VOLVO,

Inawezekana ni connection tu ya mtu kuzipata hizo truck kwao ni rahisi na wala sijamaanisha Benz ipo sawa na Scania hapana ila kwa usafirishaji wanaoanza ni bora akaanza na Scania haina vipengele vingi vya ubovu na pia matatizo yake yanajulikana na watu wengi wa bara barani...
 
Unataka kufanya kazi gan na iyo gari kama kazi ni ngumu kama kufuta trailer la kokoto au kwenda rafu road chukua howo au faw ndio gari za kazi ngumu na spare bei chini
Kama transt chukua scania inategenezeka na spare bei chini
Kama ndio unaanza nakushaur sana chukua scania
Benz ni nzur kuliko scania lakin mtaji wa kuudumia benz siyo mchezo coz ndio unaanza
Scania au howo ndio gari za masikini au mtu anaamza coz spare utaweza kumudu
 
Mzee umeongea vyema lakin kuna gari za mzungu za kisasa ambazo ni reduction zinaweza kuchuana na gari za kichina na zika perform vyema iveco tracker moja ni pulling na Kuna scania daf
 
Mkuu spare za Bharat Benz zinaingiliana na Mercedes Benz za mjerumani?

Nimeona R.K Chudasama ameleta Horse za Bharat Benz na Kuna Basi za Dar Mwanza nazo mpya ni Bharat Benz moja niliikuta Ubungo. Kwa Maroli ya Bharat Benz kutoka India muungurumo na mitetemo hazijatofautiana na Chinese Truck.

Hizi zikipigiwa Debe ya kutumia vizuri mafuta, matajiri wengi watazivaa kisha baadae wahindi watakuwa wanawasubiri kwenye spare parts.
 
kwani Bakhresa anamiliki magari gani jamani?

View attachment 1679534
Volvo na Benz mostly, ila ye hategemei magari kama biashara bali kama kusafirisha mizigo yake, na kutengeneza kwake sio insue, na kikubwa ni ananunua 0km ambapo huwez judge reliability kwa kuangalia gari mpya
Benz na volvo nahis ndo best fuel to power ratio followed by Volvo( efficiency)
 
Sidhan kama howo ni nzuri kwa masafa marefu na udumu wake bado ni mtihan
Kwenye Scania apo poa ila naskia DAF pia ni nzr kutokana na madereva watatu naowajua
 
Muhindi muhuni tu hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…