Wajuzi wa mambo hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Mkapa?

Wajuzi wa mambo hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Mkapa?

Zee la madawa

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,895
Reaction score
4,478
Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Benjamin Mkapa? Wakati kati ya watu ambao walimshawishi Benjamin Mkapa kugombea urais ni pamoja na Jenerali Ulimwengu na pia Jenerali Ulimwengu alikuwepi kwenye uzinduzi wa kampeni za Benjamin Mkapa?

Ila baadae wakaja kuzinguana shida ni nini?
 
Siku zote watu walioko madarakani huwaogopa sana watu wenye akili kuwazidi.

Mkapa aliujua uwezo wa kiakili aliyo nao Jenerali Ulimwengu hata kabla ya kuwa rais. Hivyo muda wote akawa anamhofia.
 
Katiba hii, rais yyte atakae kaa pale ikulu wahuni wamo. lazima reform kupunguza madaraka yake. Hawezi teua kila mtu, mpaka mkuu wa wikaya
 
Jenerali alikuwa mchokonozi😆😆😆

By the way, alituhumiwa kuwa raia wa nchi gani? Je yeye ni kabila gani? Ana kapua ka kiTutsi hivi.
 
Back
Top Bottom