Wajuzi wa mambo naomba mnieleweshe hivi kwanini Jenerali Ulimwengu alizinguana na Benjamin Mkapa? Wakati kati ya watu ambao walimshawishi Benjamin Mkapa kugombea urais ni pamoja na Jenerali Ulimwengu na pia Jenerali Ulimwengu alikuwepi kwenye uzinduzi wa kampeni za Benjamin Mkapa?
Uwekezaji chini ya mkapa ulikua holela,mirabaha kiduchu,mara wawekezaji wamkopeshe,wampe zawadi, ulimwengu akawa anafichua na kuchambua kwenye gazeti lake