chakutu
Member
- Feb 23, 2018
- 75
- 64
Kuna nafasi TANROADS walizozitangaza tangu mwezi wa 6, 2025 kupitia Utumishi kuna mwana nilimuazima laptop yangu kwa ajili ya kufanya maomba juzi kati naonana nae namuuliza vipi interview anasema bado hawajaitwa.
Mpaka leo mwana hajaitwaa kwa ajili ya Interview, Je ni kiini macho au wanasubiri Uchaguzi uishe iwe pushnei babu
Mpaka leo mwana hajaitwaa kwa ajili ya Interview, Je ni kiini macho au wanasubiri Uchaguzi uishe iwe pushnei babu