Wajuzi wa mambo ya unajimu mpitie hapa

Wajuzi wa mambo ya unajimu mpitie hapa

Raj kapool

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2018
Posts
1,352
Reaction score
2,160
Anaejua tafsiri ya ndoto hii anipe.

Leo nimeota mtu wangu kajifungua watoto watatu, wa kike wawili wakapotea nikabaki na mmoja wa kiume ambaye nikampa jina la Ibrahim. Yeye alivyozaliwa tu, muda huo akawa anatembea na pia anaongea. Je, inamaanisha nini hii ndoto?
 
Back
Top Bottom