Issuna
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,203
- 7,628
Mi mambo mengine yananipita hivi hivi..hili pilau nimeliona mahali naomba mwenye msaada wakujua haya majani ni mbwe au ni bahati mbaya yamedondokeamo.
Kama siku hizi ukipika pilau ukimaliza unaweka majani ya muembe tuambiane,ki ukweli hili pilau mi nikipewa haya majani yote mi naweka pembeni kama ni ushamba bora niitwe mshamba TU.
hulu mi ndo napaita kurudishana sodoma,mmeanza kutuwekea majani kidogo kidgo kwenye chakula mwisho wa siku tutakutana na Majani tupu mezani,nyie kina dada wapishi nguli Saweni tu lakini.
Fundi anisaidie hayo matawi ya mparachichi kazi yake nn kwenye pilau.