Wajuzi wa Mapishi nisaidieni Haya ndio maviungo gani!

Wajuzi wa Mapishi nisaidieni Haya ndio maviungo gani!

Hizo ni bay leave sijui Kwa kiswahili ila ni mojawapo ya spice
 
Hayo yanaitwa colliander leafs..nu viungo tofaut na kuongeza haruf nzuri lakin pia carminative yaani yanasaidia kupunguza gesi tumboni...
Hizo sio coriender,coriender ni zile zinakuwa na Majani madogomadogo zinafungwa Kwa bunch zinauzwa zikiwa mbichi za kijani hayo yanaitwa bay leaves
 
Back
Top Bottom