Wajuzi wa online business...

Wajuzi wa online business...

kalisheshe

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
2,064
Reaction score
4,056
Wajuzi wa online business

Ni business gani ambayo iko vizuri na inalipa kipindi hiki?.
 
Blogging, Affiliate Marketing, Freelancing, YouTube, Digital Marketing
 
Hv on line marketing ni nn? Kuna rafiki yangu mmoja wa fb yy anaishi south Africa anatamani nami niwemo ktk hiyo on line marketing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mtu akuunge kwenye online marketing.
Online marketing au digital marketing ni kitendo cha kupromote bidhaa kwenye intaneti kupitia tovuti au social networks.
Sasa unaposema mtu anataka kukuunga hata haimake sense. Usikute unataka kuungwa kwenye network marketing.
 
Trading(forex,stock,index, commodities etc)
Freelancing-upwork,Fiverr
Blogging
Own website
Affiliate makerting
Transcription (rev,transcribe me,etc)
Translation
Online tutoring
Social media marketing
Drop shipping
Online store (e-commerce)
And others you can Google more

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom