Wajuzi wa sheria plz msaidieni huyu jamaa

Mdakuzi

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
4,294
Reaction score
6,872
Habari zenu wana jukwaa?
Kuna jamaa yeye ni fundi magari (kunyoosha & kupiga rangi), anafanyia kazi zake ktk garage za mtaanii.
Hivi karibuni alifuatwa ktk garage na jamaa anayemfahamu akimtaka akamfanyie kazi yake katika garage moja maeneo ya Kawe.
Alipoenda akapewa kazi ya kupiga rangi gari moja, wakapatana bei, wakaelewana. Kazi ikaanza.
Akiwa katikati ya kazi akashtuka akifutwa na polisi wa kituo cha Kawe na kumkamata kwa kuwa alikuwa akitengeneza gari la wizi.
 
Mkuu mbona hapo hana case ya kujibu sema watamchukua maelezo tu kama ataweza ku prove kama yeye kweli nifundi wa gari na hakuhusika na huo wizi sema bongo kama hujui sheria ndio shida lazima wende na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…