Anayejua jamani nauliza.
Mwaka jana sikupewa likizo kwani kulikua na upungufu ea watumishi.. Sikulipwa naomba msaada wa waraka au sheria gani niweze kudai haki yangu
Ahsanten
Likizo yako ilihairishwa kwa mdomo au maandishi? Suala la likizo lipo kwenye standing order na Public service act and regulation, kwa sasa mwandikie barua mwajiri kuhusu likizo yako, uanzie hapo!