Wajuzi wa sheria/standing orders; nitumie sheria gani kudai haki yangu?

Wajuzi wa sheria/standing orders; nitumie sheria gani kudai haki yangu?

NYANSINDE

Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
14
Reaction score
8
Anayejua jamani nauliza.
Mwaka jana sikupewa likizo kwani kulikua na upungufu ea watumishi.. Sikulipwa naomba msaada wa waraka au sheria gani niweze kudai haki yangu
Ahsanten

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Likizo yako ilihairishwa kwa mdomo au maandishi? Suala la likizo lipo kwenye standing order na Public service act and regulation, kwa sasa mwandikie barua mwajiri kuhusu likizo yako, uanzie hapo!
 
Back
Top Bottom