Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Siku hizi namuona kama Haji Manara mweusi.Ahmed Ali alikuwa smart sana wakati akiwa mtangazaji wa Azam! Siku za karibuni akili yake imeanza kuvurugwa.
Asipochukua hatua za haraka na za makusudi kabisa kujirekebisha na kurudia hali yake ya kawaida, basi muda si mrefu atakuwa kama Haji Manara.