Wajuzi wa Suzuki Swift Old Model naombeni ufafanuzi

Ka
Huyu jamaa alinunua miaka 10 iliyopita kwa milion 7 hadi kuichukua Dar.
Kwa sasa gharama ziko tofauti kidogo ila inaweza kuwa around 9.5+ kwa kuagiza kutegemea na specifications.
Kama anayoiyo gari miaka 10 iliyopita kiukweli, inashawishi kuamini iyo gari ni makini sana. Ahsnte Kiongozi kwa ushauri mzuri. Vp una ufahamu wwt khs TOYOTA RAUM? Mana wife ana force tuchukue iyo japo mm napata Hamasa na Suzuki Swift old model kwa uimara wake nao usikia.
 
Raum iko poa mkuu ila mi binafsi hua sipendi mlango wake ule wa kuvuta kama NOAH...ila iko poa mkuu.
Gari ni utunzaji tu
 
Yeah....gari ni matunzo...kuna mtu utampa Hii raum na atadumu nayo miaka kumi...
Kuna wengine si watunzaji.

Nina rafiki yangu alipewa Land Rover 109 na baba yake....nakuhakikishia hakukaa nayo miaka sita aliiuza kama scrapper....huyu jamaa tunamuita MLA CHUMA.

Juzi kanunua oppa namba B, ina miezi sita tu kwake lakini inatia huruma...bodi limeshatepeta kama bamia iliyochemshwa.
Raum iko poa mkuu ila mi binafsi hua sipendi mlango wake ule wa kuvuta kama NOAH...ila iko poa mkuu.
Gari ni utunzaji tu
 
Yeah....gari ni matunzo...kuna mtu utampa Hii raum na atadumu nayo miaka kumi...
Kuna wengine si watunzaji..
Nina rafiki yangu alipewa Land Rover 109 na baba yake....nakuhakikishia hakukaa nayo miaka sita aliiuza kama scrapper....huyu jamaa tunamuita MLA CHUMA...
Juzi kanunua oppa namba B, ina miezi sita tu kwake lakini inatia huruma...bodi limeshatepeta kama bamia iliyochemshwa.
Mkuu kwenye utunzaji wabongo tunafeli sana kuna mhindi ana gari ndogo namba AXD ila ni mpya kuliko namba C ya mswahili.
 
Back
Top Bottom