Kama anayoiyo gari miaka 10 iliyopita kiukweli, inashawishi kuamini iyo gari ni makini sana. Ahsnte Kiongozi kwa ushauri mzuri. Vp una ufahamu wwt khs TOYOTA RAUM? Mana wife ana force tuchukue iyo japo mm napata Hamasa na Suzuki Swift old model kwa uimara wake nao usikia.Huyu jamaa alinunua miaka 10 iliyopita kwa milion 7 hadi kuichukua Dar.
Kwa sasa gharama ziko tofauti kidogo ila inaweza kuwa around 9.5+ kwa kuagiza kutegemea na specifications.
Raum iko poa mkuu ila mi binafsi hua sipendi mlango wake ule wa kuvuta kama NOAH...ila iko poa mkuu.Ka
Kama anayoiyo gari miaka 10 iliyopita kiukweli, inashawishi kuamini iyo gari ni makini sana. Ahsnte Kiongozi kwa ushauri mzuri. Vp una ufahamu wwt khs TOYOTA RAUM? Mana wife ana force tuchukue iyo japo mm napata Hamasa na Suzuki Swift old model kwa uimara wake nao usikia.
Kuna jamaa angu ana hiyo model ya 2002 anasema iko poa sana. Nadhan ulaji unategemea zaidi mzigo, ukubwa wa injini na uendeshaji.Ahsnte sana Mkuu, vp ulaji wa mafuta iyo Raum?
Raum iko poa mkuu ila mi binafsi hua sipendi mlango wake ule wa kuvuta kama NOAH...ila iko poa mkuu.
Gari ni utunzaji tu
Mkuu kwenye utunzaji wabongo tunafeli sana kuna mhindi ana gari ndogo namba AXD ila ni mpya kuliko namba C ya mswahili.Yeah....gari ni matunzo...kuna mtu utampa Hii raum na atadumu nayo miaka kumi...
Kuna wengine si watunzaji..
Nina rafiki yangu alipewa Land Rover 109 na baba yake....nakuhakikishia hakukaa nayo miaka sita aliiuza kama scrapper....huyu jamaa tunamuita MLA CHUMA...
Juzi kanunua oppa namba B, ina miezi sita tu kwake lakini inatia huruma...bodi limeshatepeta kama bamia iliyochemshwa.
KaribuAhsnte kwa ufafanuzi Mkuu.
Hapo cjui tufanyeje wa bongo ili tuwe watunzaji