Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Wakaazi wa jiji la Dar es Salaam Tanzania waelezea adha ya usafiri mapema leo.
Leo ni sikukuu ya Uhuru nchini Tanzania, na siku ambayo pia yamepangwa kufanyika maandamano ya kuipinga serikali.
Serikali imepiga marufuku maandamano hayo ikiyaita ni batili na kuwarai raia wabaki nyumbani na watoke tu kama kuna ulazima.
Hali ipoje mtaani kwako?