Anaekyambia gavoo imeshinda hana akili hapa ukisikia ku paralise mfumo ndio hivi mnawafanya wanaacha mambo mengine wanasimama barabarani kodi zinapotea kwakua biashara ikiendelea hivi hakuna namna zaidi yakukubali matokeo ujumbe umeshafika
Cha kushangaza kwa jinsi walivyo wachache, hivyo vyombo na ulinzi vingeweza hata kuwapatia usafiri na kuwafikisha wanapokwenda. Tena ingekuwa good PR. Ila badala yake wanawapita tu huku wakichoma mafuta bure.