Wakaguzi wa magari kabla ya ununuzi

Wakaguzi wa magari kabla ya ununuzi

Mjuzi Wenu

Senior Member
Joined
Nov 18, 2017
Posts
108
Reaction score
108
Pre purchesing Car Inspection ni moja ya kitu muhimu sana katika ununuzi wa gari kwakuwa itakufanya ujue tatizo lolote la gari kabla ya kujilidhisha na kulinunua.

Hivyo OKEMI technical services tumekuja na huduma hii baada ya kuona baadhi ya wateja wetu kuuziwa magari yenye matatizo ambayo yanagharimu kiasi kikubwa cha pesa na mengine yaliyo pata ajali bila wenyewe kujua

Dhumuni la Pre Purchase Car Inspection
  • kujua tatizo la gari hivyo kupunguza gharama za manunuzi
  • kuokoa muda na gharama za matengenezo
Kwa kutumia Vifaa vya kisasa tutapima vitu kama,
  • System diagnosis
  • Compression ratio
  • Heat and air conditioning
  • Transmission pressure test
  • Engine pressure test
  • coolant test
  • Steering and suspension
  • Body condition and exterior surfaces
  • Check for accident or flood damage
  • Road test
Tupo chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) mabibo, Dar es salaam pia bei zetu zinaanzia 200,000 kwa magari madogo na 400,000 kwa magari makubwa.

Contact 0692235221
 
Vipi ikitokea mmekagua gari na kusema ipo vizuri halafu baada ya muda mfupi wa kutumika ikaonekana ilikua na shida. Mnamsaidiaje mteja wenu?
 
Vipi ikitokea mmekagua gari na kusema ipo vizuri halafu baada ya muda mfupi wa kutumika ikaonekana ilikua na shida. Mnamsaidiaje mteja wenu?
Ukaguzi wa gari moja kwa moja tunaenda kuangalia matatizo ambayo yanaweza kupelekea gharam kubwa na usumbufu kwa mteja

hivyo tunakagua gari ili kupunguza ukubwa wa tatizo au kuondoa kabisa tatizo kwa namna itavyo wezekana

pia kwa gari ambayo itagundulika ilinunuliwa na tatizo la aina fulani tutaakikisha tunashilikian na mteja kwa hali na mali kuhakikisha tatizo linatatulika n gari kuwa katika hali nzuri
 
Back
Top Bottom