Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntamuambia tu kuna majaribu ambayo hata angekua yesu lazima aingie kingi sembuse mimiUtaanza vipi kumueleza mpenzi wako kama umeamua kumuoa binti Texas?
So anataka mi niwe mdaka chozi la mtu ambae simjui hata kidogo?kama ni mimi binafsi....I don’t do blind dates,pia napenda “kuwinda” mwenyewe(hata ikiwa vice versa basi isiwe ile ya wazi sanaaa).Pia loyalty ni kitu ya thamani sana.vitu ntatafuta aisee.wa Texas aendelee tu kuchunga farasi hukoIlivyo ni kuwa binti alishaambiwa anasoma lakini maisha yake ni kwenye kampuni ya baba yake. Huko Texas anekuwa heart broken na Black America na yeye yupo yupo tu
Leo jamaa alitangaza mbuzi lazima aanze kujipikia ndio maana pikipiki imepiga yowe wakakimbilia kufungulia barabara ingawa jua lilikua kali.Yaani Wewe Ni hovyo kweli umeshindwa Kuleta hio pikipiki Wakati Simba inacheza na Jahazi
Ya tamashani Texas Leo?
Naoa wote kwa dini yangu ni sunnaUmekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.
Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.
Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.
Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.
Utachukua uamuzi gani?
Hahaaa AJIRA..?? How cheap you are brother... Kisa ajira ndo uache unachokiamin... Kwan bila io ajira hutoishi..?, hizi mentality za kuamin kwenye kuajiriwa ndo tunataka kuzifuta kwa vijana wa ki tzUtamueleza nini Boss aliye kuahidi ajira?
Nimekuelewa vyemaMchezo wa pesa haufati itifaki, unaweza ukawa goal kipa na ukafunga hatriki
Gemu hili ukicheza fea umepotea
Yalopitwa sindwele [emoji385] [emoji383]
Nidhambi nisipomueleza??Utaanza vipi kumueleza mpenzi wako kama umeamua kumuoa binti Texas?
Sasa nyumba ya baharini ndiyo ikutie kwenye mstaru usahau ahadi mlizo wekaeana na mwenzako?!Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.
Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.
Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.
Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.
Utachukua uamuzi gani?
Kweli kuwaz ajira n kama ukilema flan wa akili. AaaaaaHahaaa AJIRA..?? How cheap you are brother... Kisa ajira ndo uache unachokiamin... Kwan bila io ajira hutoishi..?, hizi mentality za kuamin kwenye kuajiriwa ndo tunataka kuzifuta kwa vijana wa ki tz