Wakaka ikikutokea hali hii utachukua uamuzi gani

Ndio maana wazee wetu walikuwa wanaoa wake wawili.
 
Namwambia huyo mzee ninaahadi na mwanamke mwingine.
 
Mimi nashauri kwa yeyote ikikutokea kwa hali hiyo ya mdada kukugharamikia toka chini mpaka umefika juu kwenye elimu yako, ujue ana mapenzi ya dhati na wewe ya kujenga familia. Kwahiyo inapotokea mtihani wa tajiri kukupa binti na mali zake uzisimamie huo ni mtego tu wakutaka kukupishanisha na mkeo (huyo mwanamke aliyekugharamikia ). Kwamba ukiangalia mali tu badala ya thamani ya mwanamke uliyetoka naye mbali imekula kwako maisha yako yote.
Na watu wengi au vijana wengi wanaume kwa wanawake tunadanganyika na mali zilizokwisha kutafutwa au kuzikuta badala ya kuangalia thamani ya mtu uliyenaye, anakuthamini vipi.
Mali zinatafutwa, na ni rahisi kuzipata, tofauti na kumpata mke, au mume mwema wa maisha yako. Ambaye ataibeba hatima ya maisha yako mpaka uzeeni.

Lakini kuweza kuyajua haya yote ni kimcha MUNGU na ndiye atakuwa anakufunulia majibu yote kwenye maisha yako.
 
Mimi ningeendelea na niliyetoka naye chini na akanigharamikia kwa hali na mali bila kuangalia hali yangu kiuchumi na kimwili.
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
 
Fanya mambo yote usiombe kuzaliwa katika familia duni mawazo yako yote yana kua clouded na short cut za kukwepa hio hali duni
 
Mhh nahisi itakuwa hivi🤔🤔🤔

Bosi:🙂🙂aahm tony Nia ya kukuleta huku ni kuhusu wewe umuoe binti yangu ili niwalisishe kampuni na Mali zangu zote😁😁
Mimi:☺️☺️☺️Daah samahani Sana bosi siwezi🤗🤗
Bosi:huwezi Nini
Mimi:😟😟😔siwezi kumuoa binti yako
Bosi:😮😮😤kwanini huwezi kumuoa binti yangu😡😡😡
Mimi:tayari Nina msichana wangu nimehaidi nitamuoa
Bosi:🤬🤬🤬🤬🤬chukua vilago vyako sepaa mara moja😡😡😡😠
Mimi:🤧🤧nisamehe bosi🤧ila siwezi🤧kumuoa binti yako Kwasababu ya Mali zenu🤧na kumuacha nimpendaye kwaheri bosi na Asante kwa wema wako
Bosi:😡😡bado upo tu🤬🤬nimesema potea kabla sijaita polisi😤😤😤
Mimi:haya bosi naondoka 🤧🤧🤥🤥😢😢😞😞😟😟

Baada ya hapo nitatafuta ajira sehemu nyingine na tutaishi Mimi na msichana wangu kwa amani na furaha
alafu tutapata watoto watatu.

Mara nikashtuka toka usingizini
Nikaangalia saa ilikuwa ni saa 3 kasoro asubuhi
 
Mapenzi ya shuleni au chuoni mara nyingi huwa hayadumu.....huishia huko huko, ila kwa vyovyote vile siwezi kuoa mke wa kuletewa, lazima nijitafutie mwenyewe.
 
Kwa kuogopa karma sitothubutu kumuoa mtoto wa Boss
 
Mpaka initokee maana mimi huwa napendelea maamuzi ya kivitendo!

Cha muhimu tuelewe tu kwamba hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu kwenye hii sayari dunia....
 
Amna kitu nisuchopenda kama Kumuumiza Mwanamke na hakuna kitu nisichopenda kama Umaskini....Aise apo nitakua Njia panda sana kwa kweliii...Sijui ata Nitaamua nini
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Nitamuoa alie nipambania tangu nikiwa shuleni mpaka nilipo fikia asee.
 
Kauli ya boss nioe mtoto wake huenda isinishaiwi kuwa na mtoto wake,.. Labda mtoto mwenyewe angenishawishi kwa maneno yake na kunionyesha thamani ya penzi lake ningeweza kumuacha mpenzi wangu,.. Ila Boss kama kanipenda na mtoto asinipende kwa dhati kama mpenz wangu, sitamuacha mpenz wangu...
 
Huyo binti wa texas unaweza kuta anasura na shepu kama tulia sasa utampeleka wapi,mana mbele na nyuma kumefanana,yani mechi mpka uangile picha ya beyonce ndio udindishe
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
 
Umekulia huku kwetu Kwamtogole, ukiwa A level ulikutana na huyu binti anatoka ushuani. Alikusaidia sana katika maisha ya shule, alihakikisha unapata extra tuition na past papers mpaka umetoboa kwenda chuo.

Chuo ulipata boom, hukua mzigo ki vile. Field umekwenda kwenye kampuni ya mtu binafsi. Ni kampuni kubwa sana. Boss wa ile kampuni amekupenda sana kwa utendaji wako wa kazi. Amekuahidi ajira ukimaliza shule.

Amekutambulisha kwa binti yake ambae anasoma Texas. Ndiye mtoto wake wa pekee. Amekualika muende weekend Pangani kwenye nyumba yake iliyo kando ya bahari. Kule anakueleza nia na madhumuni ya kutaka wewe umuoe mwanae ili awakabidhi biashara zake.

Wewe na mpenzi wako mmewekeana ahadi za kuoana tangu mkiwa A level.

Utachukua uamuzi gani?
Mh mbona jibu nilahisitu unaelekea kwenye mafta Kwanza na huyo mwingine abakie kwenye foleni
 
Back
Top Bottom