Habari za ucku wakuu,kwa kweli nimeona nitoe kero mwenzenu,yan unakuta mdada au mkaka anafanyakazi ila yeye kwake hapiki,ikifika mida ya msosi anahamia kwa rafiki yake kwa madai kwmba yeye bado hana uwezo wa kujitegemea wkt tumeajiriwa kipindi kimoja,mwenzio nimejitahd wee nikabudget ndo nakula,na wakaka hizo tabia za kuja mawifi na wengne kuacha watoto wadogo bila hata hausigel muache,na wengne wanadiriki kufanya kama kwao,mtu anaingia directly hadi ndani hajavua hata viatu anaingza michanga kibao ukimuuliza kwaupole anakujibu amejisahau eti alifikiri kwake,badilikeni jamani nitarudi?