Wakaka na wadada wenye tabia hizi acheni mnaboa!

Nyafe

Member
Joined
Apr 9, 2012
Posts
25
Reaction score
2
Habari za ucku wakuu,kwa kweli nimeona nitoe kero mwenzenu,yan unakuta mdada au mkaka anafanyakazi ila yeye kwake hapiki,ikifika mida ya msosi anahamia kwa rafiki yake kwa madai kwmba yeye bado hana uwezo wa kujitegemea wkt tumeajiriwa kipindi kimoja,mwenzio nimejitahd wee nikabudget ndo nakula,na wakaka hizo tabia za kuja mawifi na wengne kuacha watoto wadogo bila hata hausigel muache,na wengne wanadiriki kufanya kama kwao,mtu anaingia directly hadi ndani hajavua hata viatu anaingza michanga kibao ukimuuliza kwaupole anakujibu amejisahau eti alifikiri kwake,badilikeni jamani nitarudi?
 
Teh teh teh teh teh! Dunian kwel kuna v2ko,cjui mhucka anayeongelewa hapa yuo humu au?
 
We nae unasumbuliwa na uchoyo tu.kwan mtu akila hilo liugali lako la dona ataongezeka nin?acha uchoyo mkuu.
 
Mkuu chukulia kwamba una rafiki yako mmeajiriwa wote yy mko jirani mshahara wake anatumia kwa mambo yake hachangii chochote daily anakuja kwako mnakula,mnakunywa kwake ni kulala 2,akikuta hujapika anakuuliza vp jirani leo hatuli?sijawah kumwmbia achangie uzalendo umenishnda wewe unaniona mchoyo,wa mwsho kulala nasubiri wageni waondoke nifanye usafi,vyombo ili kesho niwah job unaona uchoyo?ww ungefanyaje mkuu?
 
Yuko humu? otherwise mwambie ukweli kuwa kama vipi kila mtu awajibike, especially kama ni daily, mwambie taratibu, leo hatuna unga, leo hatuna mboga, leo pika wewe, mpaka utamwingiza rasmi kwenye majukumu fully, otherwise atakimbia, ila kama sio frequently, punguza uchoyo mkuu
 
Ha ha ha aa hapo kwenye Bold, hapo hauna rafiki cha kufanya wewe kesho usipike uende kwake na wewe ukae umuulize jirani leo hatupiki usikie atasemaje..?

Au mshauri kama nyote ni ma-bachelor tafuteni mdada (housegirl awe anawapikia) nadhani hapo issue kubwa sio bajeti bali ule usumbufu wa jamaa zako kufanya kwako kama mgahawa.. (bad enough ni mgahawa wa bure)
 
Mwambie achangie na awe anapika siku nyingine na vyombo anaosha...ila mi huwa sijali kwa sbb nachukuli chakula kama kinyesi cha baadae mtu akija kwangu akakuta msosi anakula..
 
Nimewahi kuwa na aunt yangu yaani bora amwage msosi kuliko kuona ambaye si mwanae anakula! Sisi wa mbali tulikuwa tunakatwa jicho kweli basi unapakua kidogo unaishia kulala njaa! Uchoyo tuu. . . Na mhusika aache pia kudowea
 
duh . . . . .
Yaani baada ya kazi navyopenda kuwa home, sijipigii picha naenda kula kwa watu afu kila siku.
 
Yuko humu? otherwise mwambie ukweli kuwa kama vipi kila mtu awajibike, especially kama ni daily, mwambie taratibu, leo hatuna unga, leo hatuna mboga, leo pika wewe, mpaka utamwingiza rasmi kwenye majukumu fully, otherwise atakimbia, ila kama sio frequently, punguza uchoyo mkuu

ni daily mwanzoni sikuona ugumu wowote kwni aliniambia anategemewa so kuna mambo anaweka fresh,ila vikipitishwa viwalo 2,loh!hyo misimbazi itakayomtoka hapo huwezi amini,nimeshauri weee!hadi nimechoka,na mimi nataka nitoke wiki 2 hv nione kama kwake hatopika!
 
Mkuu chukulia kwamba una rafiki yako mmeajiriwa wote yy mko jirani mshahara wake anatumia kwa mambo yake hachangii chochote daily anakuja kwako mnakula,mnakunywa kwake ni kulala 2,akikuta hujapika anakuuliza vp jirani leo hatuli?sijawah kumwmbia achangie uzalendo umenishnda wewe unaniona mchoyo,wa mwsho kulala nasubiri wageni waondoke nifanye usafi,vyombo ili kesho niwah job unaona uchoyo?ww ungefanyaje mkuu?

Mwambie kesho aje na unga na matunda
 
ni daily mwanzoni sikuona ugumu wowote kwni aliniambia anategemewa so kuna mambo anaweka fresh,ila vikipitishwa viwalo 2,loh!hyo misimbazi itakayomtoka hapo huwezi amini,nimeshauri weee!hadi nimechoka,na mimi nataka nitoke wiki 2 hv nione kama kwake hatopika!
kama vipi mwambie bwana mi nahisi naanza kukuchoka kama vipi contribute na wewe, akigoma anza kununua chips umwambie nimeishiwa umpime kwanza
 
duh . . . . .
Yaani baada ya kazi navyopenda kuwa home, sijipigii picha naenda kula kwa watu afu kila siku.

we acha mkuu afu huwezi kumfukuza,bac naamka nimechoka afu job tena,hv kwnn wadada hampendi kujithamini?wote ni mabachelor nafikiri ndotatizo
 
Yuko humu? otherwise mwambie ukweli kuwa kama vipi kila mtu awajibike, especially kama ni daily, mwambie taratibu, leo hatuna unga, leo hatuna mboga, leo pika wewe, mpaka utamwingiza rasmi kwenye majukumu fully, otherwise atakimbia, ila kama sio frequently, punguza uchoyo mkuu

ni daily mwanzoni sikuona ugumu wowote kwni aliniambia anategemewa so kuna mambo anaweka fresh,ila vikipitishwa viwalo 2,loh!hyo misimbazi itakayomtoka hapo huwezi amini,nimeshauri weee!hadi nimechoka,na mimi nataka nitoke wiki 2 hv nione kama kwake hatopika!
 
Ni tabia mbaya sana kwakweli hata ningekua mimi ningechoshwa nayo,achana na msosi hata muda wa kukaa mwenyewe kutafakari maisha unakosa waiiiii....mijitu mingine bana,sijui kwanini sio mistaarabu!!!
 
Mkuu chukulia kwamba una rafiki yako mmeajiriwa wote yy mko jirani mshahara wake anatumia kwa mambo yake hachangii chochote daily anakuja kwako mnakula,mnakunywa kwake ni kulala 2,akikuta hujapika anakuuliza vp jirani leo hatuli?sijawah kumwmbia achangie uzalendo umenishnda wewe unaniona mchoyo,wa mwsho kulala nasubiri wageni waondoke nifanye usafi,vyombo ili kesho niwah job unaona uchoyo?ww ungefanyaje mkuu?

Hapo kwenye rangi, ningemwambia tuwe tunachangia matumizi ili nipate kampani ya mtu wa kula naye, kuliko kula peke yangu, maana vya mwenyewe, mwenyewe pia havinogi mkuu. Pole lakini mwaya kama katabia haukapendi halafu huwezi kumwambia.
 
kumasaidia mtu mara moja au mbili si tatizo, lakini inapotokea jumatatu hadi ijumaa anakula kwako, tena anakuuliza leo hatuli, wewe ni baba yake? Si ana mshahara? Hebu mpashe kaka, mwambie ajitegemee, mpeleke dukani anunue jiko, mtungi wa gesi, unga maharage apike ale....nyumbani kwako sio restaurant, hata wewe una familia inakutegemea asizoee vya bure mjini hapa .............
 
Back
Top Bottom