Wakaka, rembesheni ndevu zenu

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
1,340
Reaction score
1,377
Mungu kawapa wanaume nywele za usoni: kwenye mashavu, kidevuni na mdomoni.Bila shaka alijua sababu za kufanya hivyo ila sasa baadhi ya wanaume (hasa vijana) huachia nywele hizo kujiotea hovyo na kuleta mwonekano mbaya.

Kwa mwanaume napenda akate ndevu zake ziwe fupi, na ikiwezekana azirembeshe
Staili nizipendazo ni hizi:

Binafsi napendelea sana pencil mustache, au kama hapa chini:



 
Kwahiyo ukioana mkaka mwenye ndevu Na anazihudumia wewe hoi[emoji41] [emoji41] [emoji41]
 
Sana tu aisee, kama hao wakaka kwenye picha na pencil beard zao. Una kitu kama hicho?
Ha ha mie huwa natoa kila kitu. Sitaki kufuga kabisa haya makitu Yaani nakuwa kama mtoto. Si unajua tena navihela vyetu ukitia mbwe mbwe watu watajua pedeshee kumbe pedeshe ukchwara. Ila nikimpata atakeye nambia fuga nafuga vizuri tu[emoji39]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…