Wakaka, Waume..



Kiukweli ishu kwangu sio gharama kwani si lazima kumwagika kwa saaaana kila mwaka na ukiwa na muelewa wala huhitaji vitu vikubwa saaana it just a symbol of appreciation.... TATIZO kwangu ni kunikumbusha i mean kukumbuka.......maadam hata b'day yangu huwa nakumbushwa the very day tena baada ya kuthibisha kuwa sina kumbu kumbu nayo wala sina mpango wowote (tena kamasijaingia kwenye mail nikakumbushwa na JF ndo kabisaaaaa sikumbuki ) walau ninaposahau ya kwake pia hashangai sana....Nafiki AD muwe mnatukumbusha....
 
Utanitetea bana...nitakupa ten percent....mimi kwenye birthday ni kiboko huwa nakumbuka miezi miwili kabla

Safi sana maana wengine ndo hayo ya kuja kuguess mhhh leo ni......mpaka unakumbuka na yasiyokumbukwa.
 
Mie kila siku kwangu ni Siku ya ndoa yangu.

Kwahiyo kila napokula tundi ndo inakuwa anniversary yangu.

Ntakumbukaje siku moja wakati nampenda kila siku bana?
 
Kwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..

we ni mmoja wapo wa wanao sahau..
au unao haina maana ??

Dahhh naona umehama nyumba kabisa..
 
AD naomba kuchakachua siredi
TF una kesi ya kujibu mahakamani kutokana na shtaka lako so jiandae mapema sana

dahhhhhhh Haya bana.

Kesi Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaaa...LOL

msiniite kabisa, mahakamani siingii..

Mahakama kuu na kesi yenyewe ni ya kudanganya matukio. Ulipaswa uwe somewhere ila ukaenda kwingine na hukuonekana.
Je huwa unakumbuka birthday ya mchumba au mpaka ukumbushwe kwa kengele

Asanteeni kwa kurudi kwenye topic... 🙂

Utanitetea bana...nitakupa ten percent....mimi kwenye birthday ni kiboko huwa nakumbuka miezi miwili kabla

hahahahahahah lol ... hii lazima nimuulize the BOSS lol 🙂
 
we ni mmoja wapo wa wanao sahau..
au unao haina maana ??

Dahhh naona umehama nyumba kabisa..
Kusahau huwa ni ngumu sana labda itokee nimepata Cardiac Arrest ....paa la nyumba lilikuwa linavuja ikabidi nihamie stoo..Angel willl keep me company thou
 
Mi nasahau sana maana haina kipaumbile kihivyo...is just one of those days like any other day.
 

hahahahaahhaha looohh

Kwa hiyo unadhani Mungu hafahamu birthday yako ni lini ...
Je unakumbuka birthday ya watu wengine muhimu kama wazazi??
 
Mi huwa nakumbuka za watu ila ya kwangu huwa sikumbuki na hakuna mtu ambaye huwa ananikumbusha na nikikumbuka huwa ni baada ya cku mbili au tatu baada ya tarehe yenyewe.

hahahahahaha duhhhh hii mi nasikia leo ..
Unasahau vipi Birthday yako tu mkuu..?
 

Umesha weka mzigo ndani inatosha uanze kukumbuka yaliyo pita ya nini?
 

okay..
Kumbe kuna wengine kweli hamkumbuki.. Poleni.

Je umewahi kuuliza au kuomba ushauri jinsi ya kukumbuka
vitu kama hivyo?
 
Kweli mimi sitaki hata kuijua maana nitapata hasira kwa nini hiyo siku niliamua kufanya maamuzi ya kuchukua Liabilities na kusogeza chumbani
 
Naw kwa mtizamo wangu ni kwamba u dont need to reming us coz najua kama ni kweli mtu anakupenda hawezi kusahau matukio muhimu kama birthday na annivesaries ingawa huwa tunasahau siku tunayoanza kuwaaproach na siku mliyotukubalia na matukio mengine (its nature thats why men do not have diaries kuweka matukio ya hivyo but women do)

Tatizo kubwa ni mtazamo, kuna wanaohisi habari za birthdays ni za kitoto au za kuiga sana na wao hawako into them sana ingawa hii haimaanishi hawakumbuki.
Pili ni kutokuwa na uhakika nini cha kufanya inapokuwa birthday yako, akutoe out, akununulie zawadi, akuandalie party au akufanyie kitu gani mwisho siku inapita.
Mwisho wanawake kutokuwa tayari kusema what do they need from their men na mara nyingi hutegemea mwanaume ndio aamue what to do (this is worldwide though)

Naomba kwa sasa niishie hapa ntaendelea baadae......
Ila mekumiss we mdada
 
Mie kila siku kwangu ni Siku ya ndoa yangu.

Kwahiyo kila napokula tundi ndo inakuwa anniversary yangu.

Ntakumbukaje siku moja wakati nampenda kila siku bana?

Hiyo sawa kabisa babu..
lakini vipi kuhusu ile siku uliyomkubali bibi mbele ya kadamnasi?
si siku ya kusherehekea.... nakumbuka mwaka jana uli celebrate miaka kumi ya ndoa..
Je ulikumbushwa au ulikumbuka mwenyewe??
 
okay..
Kumbe kuna wengine kweli hamkumbuki.. Poleni.

Je umewahi kuuliza au kuomba ushauri jinsi ya kukumbuka
vitu kama hivyo?

Aksantesana kwa kunipa pole.....Sijawahi kuomba ushauri kwani huwa napania nikumbuke na kujiaminisha kuwa nitakumbuka walau mwaka mmoja nifanye Suprise kwa mfano ya mwaka huu nilijiaminisha hivyo na nikawa nakumbuka siku 3 kabla from there nilikuja kukumbuka siku 2 baadaye....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…