Wakaka, Waume..


Mkuu, hapa is where the point lies. The basics of any relationship (marriage included) are among others Good

communication, Strong friendship and Trust. Sasa its important that a woman communicate what she wants. And let me

be noted correctly for I have not said she must 'say' what she want but she must 'communicate' her desires to get what

she deserve! Communication is powerful jamani. The moment mnaanza kutegeana kwamba 'ataanza yeye' ujue mnaingia

wrong turn. . . . .
 
Jibu rahisi sana ndio/hapana
Ila waswahili ndo mlivyo

najua jibu ni rahisi sana ..
ila sihitaji kuweka mbele ya kila mtu.
na mtu kutoa jibu la hilo swali si lazima...

Hata hapa nauliza maswali mengi tu kama mtu hataki kujibu ..
asante bye si lazima..
 


Sijajua dini yako lakini kwenye bible kuna huu mstari hebu ucheki << Proverbs 21:9 >>

[TD="class: btext, colspan: 2"]

[TD="class: orange2, width: 99%"]
New International Version (©1984) Better to live on a corner of the roof than share a house with a quarrelsome wife . Hapo ujue una kitu chema
[/TD]
[/TD]
 

Sina budi kukushukuru sana Musimo Jr
yaani hapo umeeleza mengi sana tena sana .. thanks again..
 
Tuko bussy kutafuta chapaaaaaa mama AD....na tamaduni ya mtanzania na mwanamume pia vitu kama hivyo ni nadra sana kukumbuka sana saaaana utakumbuka mtoto lini anaenda shule ngoja nianze kutafuta ada.

mmmmmhhhhhh
kwa hiyo unasema tamaduni za mtanzania hakuna kitu kusherehekea
siku muhimu katika maisha yetu au ??
 

unabahati sana mkuu..
Hongera kwa kweli ..
 
mmmmmhhhhhh
kwa hiyo unasema tamaduni za mtanzania hakuna kitu kusherehekea
siku muhimu katika maisha yetu au ??
Mimi hata niwe busy kutafuta chapaa siwezi kusahau hata niwe broke siwezi sahau...labda niwe jela ambako nitakuwa sijui leo tarehe ngapi..lol
 
Mimi hata niwe busy kutafuta chapaa siwezi kusahau hata niwe broke siwezi sahau...labda niwe jela ambako nitakuwa sijui leo tarehe ngapi..lol

hahahahahahah lol
Hivi siku ile ulilala kweli hahahah lol..??
 
You welcome AfroD,if i was of a little assistance

umesaidia sana tena sana ..

Hivi unadhani kufanya hivi vitu ni tamaduni au?

What? ?
Wala hata we ndo ulianza na zile utalala stoo leo ..lol
 
umesaidia sana tena sana ..

Hivi unadhani kufanya hivi vitu ni tamaduni au?
Moja ni vitu ambavyo kiasilia hatukuwa navyo sisi kama waswahili na ndio maana ukiangalia sana utakuta vimeanza zaidi kwenye miaka ya 2000 kuja juu na waliofanya vikashika kasi ni wale tunaowaita celebrities wa kiswahili. sasa kwasababu mifumo ya maisha ya sisi waswahili imebadilika sana ndio maana tumejikuta tuna adopt vitu vingi including anniversaries na hasa birthdays.

Kwakuwa tumeamua kubadilika then tuendelee kuchukua muda ili tuweze ku adopt taratibu na baada ya muda we will be okay. Si unajua siku kama Valentines day siku hizi imeshika kasi sana tofauti na miaka mitano tu iliyopita, so it needs time kuweza ku catch up
 
dah, afadhali kumbe siko peke yangu nisiyekumbuka mambo hayo!!kusema ukweli hata yeye asipokumbuka yangu huwa sijali kabisa(sijui labda ni makuzi yangu ya uswahilini) na kiukweli sioni umuhimu wake sana!akinikumbusah powa.ya kwangu mwenyewe nasahau.....huko kwingne si ndio kabisa!!mungu anisaidie sana!!!!
 
duhhhhhhhhh..
itabidi tutafute kitu kama alarm clock ..
ambayo itawakumbusha kila kitu maana dahhhh..

ohhhhh au unaweza kuweka reminder on your cellphone.. unaonaje hiyo??

Point taken my dear.
 
AD,

Please tueleze vizuri kilichokupata...tukupe pole!!!!!???

Kuna mazingira yanayofanya ukumbuke na uchukue hatua, ukumbuke na kuuchuna au usikumbuke kabisa!!

1. Kama ni mahusiano mapya au machanga... hapo lazima ukumbuke ili kum-impress mdau wako...Kumuonesha kuwa amejaza sehemu kubwa ya mambo yako..kichwa, moyo...etc, etc!!

2. Mahusiano ya uzeeni kama yetu...unaweza kukumbuka au hata kutokakumbuka...Madhara yake si makubwa kama No. 1 hapo juu!
3. Mawindo mapya...kukumbuka ni lazima na kujipendekeza ndiyo zaidi...

Mengine tutaendelea baadaye... ila pole sana mjukuu wangu....

Babu atazidi kuwakumbusha wajukuu (akina TF) wawe wanakumbuka haya mambo!!

Babu DC!!
 
Asante sana, mimi ni Muislam, kuhusu maneno ya bible hapo ni kweli kabisa.
 

Tulivyokuwa wadogo tunakula kuku siku za sherehe. Na ninakumbuka mama alikuwa
anakumbuka sana siku zetu za kuzaliwa na tunakula kuku 🙂 baba akirudi nyumbani hata
Hakumbuki kitu ...

Vitu kama Valentine's day kweli hizo ni zimeingia muda si mrefu ...

Sina uhakika sherehe za Anniversary zimeanza lini pia TZ..

Ila Birthday ilikuwepo kitambo ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…