hahahaha sasa mi nilikua nasema tuu, kijana siku hizi amekua sasa hana tena papara! kwani hukumbuki crazy things bana alizokufanyia? lolKimey, Kimey
we ni lawyer wangu naona unataka kuniruka
Na kumsaidia TF Mmmhhhhh .. something is not right here ..Hahahahahaha lol.
Umeona hiyo thread yake "crazy things we do for love".. lol
Anajitahidi lakini bado iasee ... acha tu niendelee kuwa na divorce yangu ...
Dahhhh yaani lawyer nilikuwa Ntakutafuta kipindi chote hiki mkuu sijui ulipotelea wapi ..
Anyway I hope u mzima kabisa ..
Birthday yangu angalia tu juu ya zile "divorce papers."
Mzima lakini?
hahaha kwani hatuwezi ku un do divorce ? namuona TF siku hizi kawa kijana mwema
sasa tufanye reconciliation si ndio?
Kimey, Kimey
we ni lawyer wangu naona unataka kuniruka
Na kumsaidia TF Mmmhhhhh .. something is not right here ..Hahahahahaha lol.
Umeona hiyo thread yake "crazy things we do for love".. lol
Anajitahidi lakini bado iasee ... acha tu niendelee kuwa na divorce yangu ...
:ranger::ranger::ranger:hahahaha sasa mi nilikua nasema tuu, kijana siku hizi amekua sasa hana tena papara! kwani hukumbuki crazy things bana alizokufanyia? lol
:ranger::ranger::ranger:
nashukuru kusikia kuna wanao kumbuka. Hongera.
Vitu vingine vinaonekana vidogo lakini vinajenga mambo
makubwa sana kwenye mahusiano. Na pia yanaleta furaha na raha
fulani ya maisha ... Ndio maana anafurahi ....
Je wewe huwa unakumbuka vipi ? umeweka reminder kwenye cellphone au ??
Hahahahahaha ..mmenichekesha sana leo
We si wa kwanza na ninadhani hutakuwa wa mwisho kisema unasahau hata yako mwenyewe ...
Anyway nadhani mambo haya si lazima kama hayana muhimu kwako na unauhakika mwenza wako hayataki ....
Lakini we unaonaje ukisherekea siku ulipo ungana na bibie? Hata mara moja tu. Unadhani italeta upungufu wowote maishani?
Kwa hiyo kwa ujumla mnakumbuka sana..
ila mnajifanya hamkumbuki sababu ya fedha..
Hiyo ya txt na kumpigia inapendeza sana..
Je unaonaje kama ukichukua siku nzima off na ku spent muda na yeye??
hiyo haihitaji fedha..
Kwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..
yale yale! bado mambo ya kutegemea! akikutema hujui huende wapi! amka!wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
:violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin:birthday ya my big babygal huwa sisahau..............SHEZ SO SPECIAL 2 ME.
wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
wedding anniversary, Birthdays, etc..
Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?
Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??
Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
Wengi wanasahau afro. Mi naona bora akisahau uuchune tu. Raha ya birthday ukumbukwe sio kuanza kumkumbusha mtu.