Wakaka, Waume..

Wakaka, Waume..

Kimey, Kimey
we ni lawyer wangu naona unataka kuniruka
Na kumsaidia TF Mmmhhhhh .. something is not right here ..Hahahahahaha lol.

Umeona hiyo thread yake "crazy things we do for love".. lol

Anajitahidi lakini bado iasee ... acha tu niendelee kuwa na divorce yangu ...
hahahaha sasa mi nilikua nasema tuu, kijana siku hizi amekua sasa hana tena papara! kwani hukumbuki crazy things bana alizokufanyia? lol
 
Dahhhh yaani lawyer nilikuwa Ntakutafuta kipindi chote hiki mkuu sijui ulipotelea wapi ..

Anyway I hope u mzima kabisa ..

Birthday yangu angalia tu juu ya zile "divorce papers."

Mzima lakini?

hahaha kwani hatuwezi ku un do divorce ? namuona TF siku hizi kawa kijana mwema
sasa tufanye reconciliation si ndio?

Kimey, Kimey
we ni lawyer wangu naona unataka kuniruka
Na kumsaidia TF Mmmhhhhh .. something is not right here ..Hahahahahaha lol.

Umeona hiyo thread yake "crazy things we do for love".. lol

Anajitahidi lakini bado iasee ... acha tu niendelee kuwa na divorce yangu ...

hahahaha sasa mi nilikua nasema tuu, kijana siku hizi amekua sasa hana tena papara! kwani hukumbuki crazy things bana alizokufanyia? lol
:ranger::ranger::ranger:
 
Hali ngumu ya maisha na majukumu yametufanya tuone baadhi ya mambo ni option,
 
nashukuru kusikia kuna wanao kumbuka. Hongera.
Vitu vingine vinaonekana vidogo lakini vinajenga mambo
makubwa sana kwenye mahusiano. Na pia yanaleta furaha na raha
fulani ya maisha ... Ndio maana anafurahi ....

Je wewe huwa unakumbuka vipi ? umeweka reminder kwenye cellphone au ??

Mie nimejitahidi sana kumeza tarehe hizi adhimu kwake.
Wajua tena nikikumbuka na kumfanyia jambo lolote siku hiyo basi anakuwa na furaha sana
Wajua tena kukaa na msichana ni kutumia akili tu
She will be happy always.
OTIS
 
Hahahahahaha ..mmenichekesha sana leo
We si wa kwanza na ninadhani hutakuwa wa mwisho kisema unasahau hata yako mwenyewe ...

Anyway nadhani mambo haya si lazima kama hayana muhimu kwako na unauhakika mwenza wako hayataki ....

Lakini we unaonaje ukisherekea siku ulipo ungana na bibie? Hata mara moja tu. Unadhani italeta upungufu wowote maishani?

unajua ishu ni nini AD?yaani nikisahau mimi unakuwa ugomvi haswa!sasa ugumu uko hapo,mimi kusema ukweli sioni umuhimu wa haya mambo kabisa na inanishangaza yalivyo ya muhimu 'kwenu'!nilishapewa adhabu ya kununiwa wiki nzima,eti sijali mambo yake,kweli kuzaliwa kwako tu,tena zaidi ya miaka ishirini na tisa iliyopita,ndo niwe sijali!!/tutakumbuka vingapi bana!?
 
Mie huwa nakumbuka mpaka za nyumba ndogo........:cool2:
 
Anyway kwa hiyo tukubaliane tu hivi vitu vina umuhimu fulani katika mahusiano ...
Vinaonekana vidogo lakini vinaweza kumpa mtu furaha ya ajabu ... na ni majukumu kwa jinsia zote mbili kutilia maanani unless wewe na mweza hamvi amini .. then hamna mbaya[/QUOTE]

ila sasa na nyie mpunguze nongwa!!nikisahau basi sio ndo nanuniwaaaa weee.unaongea na mtu utafikiri hakufahamu kabisa anavojibu,kisa birthday!!ukinuna na yeye akaamua kuwa bize na N.B.A (tena season yenyewe fupi hii...lol),mtakuwa mmefaidisha nani?kusahau hayo mambo inaruhusiwa bana(.......sio kwasababu najua kwangu sio vya lazima sana...hahahahahah) :wink2:

Kwa hiyo kwa ujumla mnakumbuka sana..
ila mnajifanya hamkumbuki sababu ya fedha..

Hiyo ya txt na kumpigia inapendeza sana..

Je unaonaje kama ukichukua siku nzima off na ku spent muda na yeye??
hiyo haihitaji fedha..

AD ikiwa weekend poa sana yaani hiyo siku ikiangukia weekend hapo hata kama atataka siku nzima na usiku mzima uwe wake haina maneno
Ila siku ya kazi huyu mzungu wangu hapa nitakuta kiti changu kashapewa mwingine na kuambiwa nikafanyie kazi library kama sio mwanzo wa kufukuzwa kazi
 
Kwani mimi huwa nasahau ya kwako ila tokea ulipomuweka Kimey kuwa lawyer wako ukaharibu kila kitu...ila nahisi kuna wale wanaosahau na kuna wale ambao wanaona haina umuhimu sanaa..

TF,what a loaded statement,am i reading something here?
 
jamani haya mambo ya besdei,anniversary etc mi naona ni ya kisasa zaidi,sasa bishanga besdei na maua wapi na wapi?
 
Wa hali hii ya maisha jamani, kusahau mambo kama haya si ajabu kwani majukumu kibao, kipato shida.
 
wedding anniversary, Birthdays, etc..

Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?

Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??

Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.
yale yale! bado mambo ya kutegemea! akikutema hujui huende wapi! amka!
 
wedding anniversary, Birthdays, etc..

Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?

Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??

Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.

Nimefurahi kukuona Kurwa....

Naamini thread hii haituhusu tunaojali uh??

Yaani sisi tunaokumbuka hayo matukio... nilikuwaga nakumbuka mpaka bezdei ya Baba yake lol
 
ni vizuri mkiwa mnatukumbusha inaonyesha upendo na kujali japo tunasahau makusudi!
 
Wengi wanasahau afro. Mi naona bora akisahau uuchune tu. Raha ya birthday ukumbukwe sio kuanza kumkumbusha mtu.
 
wedding anniversary, Birthdays, etc..

Naomba kuwa uliza wakaka na waume wa hapa Je ni kwamba
hamkumbuki siku kama hizo au hazina umuhimu sana kwenu..?

Na Je mnataka tuwe tunawakumbusha siku hizo zikikaribia au??

Samahani kwa thread fupi I hope mmenielewa..
Asanteni.

wedding anniversary ni muhimu ingawa bado sijafika huko.....

but me i don't do birthdays ... kuna member humu anaenda kwa jina la "njiwa" kuna siku alisema kauli flani kwamba only losers do birthdays nilipoomuliza why akajibu " People do birthdays bcz they have got nothing to achieve ..."

kwa ufupi da AD mi sioni umuhimu wa birthdays
 
Wengi wanasahau afro. Mi naona bora akisahau uuchune tu. Raha ya birthday ukumbukwe sio kuanza kumkumbusha mtu.

Mke ,
Mbona kama mimi nakukumbuka sana wewe , kuliko siku uliyozaliwa ?
Si nakupenda wewe mtu , haitoshi ? Nikapende na siku?
Siku ina nafsi ?
 
Back
Top Bottom