Wakaka wote wa JF

Wakaka wote wa JF

Karibu kijiweni baada ya kazi tuje tusherekee upendo wako kwetu:A S 39:
 
shugacake i hate ugandans and pakistan ;-)
Sasa Nyani hapa tunazungumzia malavidavi kwa wakaka wa JF, hao Ugandans na Pakistans wanakujaje hapa?........... Ubaguzi au tusome katikati ya mistari??.:banplease:
 
Nothing but Love Preta...

I have had a chance of meeting many JF members na pamoja na post nyingi tunazotuma, all of them have been very loving respecting and more important watu wenye maadili sana... sijawahi kukutana na incidence ya ajabu wala vituko nikiwa na wa-JF. All consultations tunazofanya kuhusu kazi na maendeleo zimezaa matunda na hakuna cha kuongeza... WE HAVE USED JF EFFECTIVELY HASA KWENYE MAENDELEO

nANI kama wadada wa JF?? always good advisors na wametuvumilia sana na valeur na red label zetu

Actually tungeweza kuifanya hii wiki iwe ya heshima upendo na amani kwa wana JF wote... ni wiki spesho sana kwa watanzania

Thanks a million Preta

Hapo kwenye bold...are you sure? Hata mimi? Kama ni kweli basi USINIHAMISHE MEZA tena tafazali.

NGUMI JIWE!:frusty::frusty::frusty:
 
Thanks Preta for bringing this up..... Surely JF Brothers are more than Brothers to Us. We appreciate their Love and Care for us and we do love and care about you guys ..... sana tu!!

Only brothers? Babus?
 
Bavo Preta ,msg yako iko vizuri mwake sana hasa monday kama hii tunapokaliwa kooni na mabosi kutaka weekly report. Weldone
 
Sasa Nyani hapa tunazungumzia malavidavi kwa wakaka wa JF, hao Ugandans na Pakistans wanakujaje hapa?........... Ubaguzi au tusome katikati ya mistari??.:banplease:

mwanajamiione, with due decorum, you are not my chocolate chip shugacake cookie dough! Or, are you?
 
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........
very true mamito, JF brothers are nice. :thumb:
 
:thumb::thumb: Thanks Preta for the love, ningekuwa sikujui ningehisi u have just posted for funny ila wewe ni mkarimu na mwenye upendo. Stay blessed always
 
:thumb::thumb: Thanks Preta for the love, ningekuwa sikujui ningehisi u have just posted for funny ila wewe ni mkarimu na mwenye upendo. Stay blessed always

ni kweli mkuu , abarikiwe mno .
 
Monday is super white now....hangovers gone for good...thanx Preta....tukumbuke tena next monday!
 
Loving Arms and Buy Me a Rose by Kenny Rogers ..

Muwe na siku njema kaka zangu hasa ukizingatia ndo blue monday leo...
 
Asante mama zimefika, cc pia we care, like and love you as our colleagues.
 
For starters, thank u preta. U da bombest. Now that i've got that out of the way, please xcuse my getting carried away and going off the deep end. Shugacake did me wrong
 
mwanajamiione, with due decorum, you are not my chocolate chip shugacake cookie dough! Or, are you?
Opssss!! S.O.R.R.Y...............was just pulling ya leg bro!!

With all respect.............I withdraw my post. Ipotezee
 
It is always good to feel loved! we appreciate! thanx Preta and the ladies in JF:thumb:
 
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........

Lovely....nothing more!
 
Back
Top Bottom