mkuu,Wewe Preta una uhakika gani maana jinsia za wanaJF wengi hazijulikani mfano waijua jinsia ya Boflo, NN, Kunta Kinte, Roya Roy, Henge n.k???
Mdogo wangu... tusiharibu siku... Preta's message had no name calling, sex identification nor pointing fingures. it was purely good starter for the weekmkuu,
kwani hao watu preta AMEWATAJA?
why don't you :tape::tape::tape:
shugacake i hate ugandans and pakistan ;-)
mkubwa, wakaka waliopendwa wamejijua, sasa kama kuna mtu amejisikia sio mkaka ajue hajapendwa wala nini....ATULIE.Mdogo wangu... tusiharibu siku... Preta's message had no name calling, sex identification nor pointing fingures. it was purely good starter for the week
Lets pass his intention, kumbuka ulifungiwa watu wakashangilia sana!! na ukumbuke Masa alipofungiwa kuna mtu alikuja na vigelegele
:ban:
umesomeka mkuu!Mdogo wangu... tusiharibu siku... Preta's message had no name calling, sex identification nor pointing fingures. it was purely good starter for the week
Lets pass his intention, kumbuka ulifungiwa watu wakashangilia sana!! na ukumbuke Masa alipofungiwa kuna mtu alikuja na vigelegele
:ban:
ndio life hiyo... ukinipiga unanionea, ukiniacha unaniogopaumesomeka mkuu!
lakini wakati mwingine ule UHURU wa WHERE WE DARE.......!usiingiliwe na watu kama huyo bwana.yani kutumia fimbo ya ''nitakusemea kwa mod/invizibo ili akupe ban'' wakati mwingine ni udhaifu mkubwa!.
umesomeka mkuu!

Siku hizi mnasahau kuamsha wazee.. eti?
No sweat.. Hii kitu ni bomba sana (ingawa nimepitwa long time) na huyu dada naona ameota kitu kizuri sana usiku.
Kwa wenye macho ya makengeza (tena ya 1947) bado tunaamini hakuna mkaka anayebaniwa hapo. .........:lying::lying::lying::lying::A S 41::A S 41::A S 41:
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........
Ukiwa kwenye vijana hata ukiwa mzee unahesabika kuwa wewe ni mkaka

Ndiyo hivyo mdogo wangu tunajitahidi kulazimisha ila speed ya hawa vijana wa dot com ni zaidi ya samba la Barcelona au Arsenal. Hata hivyo tunajikongoja kongoja taratibu mwendo wa kinyonga!!