Wakala: Baleke ni Mchezaji Halali wa Tp Mazembe

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
1819C671-FDC4-41A2-9B27-7B59E98207F2.jpeg
 
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
View attachment 2582446
Kwa hiyo tukusaidieje hapo?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
JEAN BALEKE NI MCHEZAJI WA TP MAZEMBE
"Jean Baleke ni mchezaji halali wa TP Mazembe ambaye kwa sasa anacheza Simba kwa Mkopo wa makubaliano ya misimu miwili
"Simba haikumnunua moja kwa moja mchezaji huyu yupo pale kwa Mkopo ila ni mchezaji wa TP MAZEMBE,"Msimamizi wa Mchezaj
View attachment 2582446
Hakuna aliyekataa. Na simba si mazwazwa, na baleke sio mtumwa
 
Ata Simba wanaye mchezaji wao Ustaadhi Manzoki wamemtoa Kwa mkopo uko u china atarudi Tena kipindi Cha Uchaguzi mkuu wa viongozi.
 
Huyu wanaweza kumrudisha maana sasa hivi Boss kaanza kukisuka kikosi upya,husishangae akaja kupiga hodi hadi kwenye timu zetu.
 
Back
Top Bottom