Wakala wa Bwalya aipiga mkwara Simba SC

Wakala wa Bwalya aipiga mkwara Simba SC

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Wakala wa mchezaji Bwalya raia wa Zambia anayekipiga Al Ahly ya Misri licha ya kukiri kwamba mchezaji wake hatakiwi Al Ahly amesema Simba hawawezi kumsajili mchezaji wake.

Amedai kutokana na kiwango kilichopo kwenye mkataba wa mteja wake na Al Ahly itakuwa vigumu kwa Simba SC ya Tanzania kumsajili mshambuliaji huyo wa zamani wa Nkana ya Zambia.

MO popote pale ulipo kama umesoma hapa hebu fanya mpango wakutambue wewe ndie tajiri kijana zaidi barani Afrika kutoka nchini Tanzania.

FB_IMG_16233444771887277.jpg
 
Wakala ni kama amejitongozesha mwenyewe kwa Simba mabilioni sports club.
 
Wakala anatumia akili kubwa sana, anataka simba wamchukue huyo bwalya, hivyo sio vitisho bali ni mbinu za kutaka kumleta simba
 
Kama Simba walishindwa kumchukua wakati yupo Nkana kwasasa hawana uwezo wa kifedha kuvunja mkataba wake labda baada ya miaka mitano au sita ijayo akiwa majeluhi kama Mugalu au Lukosa wanaweza kujaribu.
 
Ahly watakaa na bwalya wataangalia maslahi ya pande zote 2 wakiafiki ataondoka kwa bei tofauti na release clause iliyowekwa au wakamtoa free au atakwenda kwa mkopo timu nyingine na kama mshahara ni mkubwa sana ahly ataendelea kulipa sehemu ya mshahara mpaka mkataba wake utakapokwisha kama ilivyo kwa madrid bale akiwa totts, utd Sanchez akiwa inter, na magalasa kibao ya Chelsea. Hili ni fundisho kwa timu zinazopenda kukimbilia majina makubwa
 
Nani kamamwambia huyo wakala kwamba simba tunamhitaji huyo mchezaji mzigo pengine kuliko hata huyu mcongo aliepo? Huyo mzee bwalya atafte tu pakustaafia cyo kujipendekeza simba.
 
Back
Top Bottom