denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Wakala wa mchezaji Bwalya raia wa Zambia anayekipiga Al Ahly ya Misri licha ya kukiri kwamba mchezaji wake hatakiwi Al Ahly amesema Simba hawawezi kumsajili mchezaji wake.
Amedai kutokana na kiwango kilichopo kwenye mkataba wa mteja wake na Al Ahly itakuwa vigumu kwa Simba SC ya Tanzania kumsajili mshambuliaji huyo wa zamani wa Nkana ya Zambia.
MO popote pale ulipo kama umesoma hapa hebu fanya mpango wakutambue wewe ndie tajiri kijana zaidi barani Afrika kutoka nchini Tanzania.