Ahly watakaa na bwalya wataangalia maslahi ya pande zote 2 wakiafiki ataondoka kwa bei tofauti na release clause iliyowekwa au wakamtoa free au atakwenda kwa mkopo timu nyingine na kama mshahara ni mkubwa sana ahly ataendelea kulipa sehemu ya mshahara mpaka mkataba wake utakapokwisha kama ilivyo kwa madrid bale akiwa totts, utd Sanchez akiwa inter, na magalasa kibao ya Chelsea. Hili ni fundisho kwa timu zinazopenda kukimbilia majina makubwa