F FOEL Senior Member Joined Jan 19, 2012 Posts 141 Reaction score 34 Apr 13, 2012 #1 Kama unaelewa taratibu za kuwa wakala wa LUKU na DSTV naomba unijulishe kwa PM, niko mbali kwa sasa otherwise ningetembelea ofisi za LUKU na DSTV. Asante sana.
Kama unaelewa taratibu za kuwa wakala wa LUKU na DSTV naomba unijulishe kwa PM, niko mbali kwa sasa otherwise ningetembelea ofisi za LUKU na DSTV. Asante sana.