asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Du mwenyewe nlikuwa nikijiuliza hili swali pasikupata jawabu anaejua atujuze basi
Azam hana huu utaratibu wa uwakala, ukitaka unaenda kiwandani kwake yeye anakuuzia bidhaa yoyote unayohitaji kwa bei ya jumla kisha wewe mwenyewe ndiyo ukaiuze huko unapotaka...
Usiinge biashara kwa style hii.Utakwama.Nilifika Kigoma mwaka jana, nikafika ktk duka flani wanauza ice cream, maziwa, maji na bidhaa zote za vyakula vya Azam. Tena kuna gari lilileta ice cream. Nilivutiwa sana na biashara hiyo na nina wazo la kuifanya.
Mwenye ABC za namna ya kuanzisha biashara hiyo na minimum mtaji wa kuanzisha mradi huo
Usiinge biashara kwa style hii.Utakwama.
Na mkoa huo wengi ni choka mbaya,sana sana Pale mjini ukiunganisha na mjimwema,kidogo maeneo ya Mwanga Katubuka ambapo angalau wanatumia kiasi.Na pale Mjini target kuibwa wahindi kina Premji na Jaffer na koo nyinginezo
Lakini Ujiji au Gungu huko Kahabwa utakula mwenyewe,
Ni kweli mkuu, mimi nataka nianzishe hiyo biashara hapa Dodoma.
Du mwenyewe nlikuwa nikijiuliza hili swali pasikupata jawabu anaejua atujuze basi
Majibu mengine ni bora zaidi kwa uhai wa uzi na faida ya muuliza swali kama ukikaa kimya na kutokujibu.., (adds nothings positively)Maswali mengine magu kweli kujibu,
Sasa kama upo mkoani hao wenzio wananunua vipi.
Wanavyonunua hao wenzio ndio na wewe nunua kama hao kwenye maduka makubwa ya Jumla.