asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Habari zenu wadau ......
Heri ya mwaka mpyaaaa...
Naomba kujuzwa na mtu mwenye uelewa kuwa wakala wa kuuza kwa jumla product za Azam hasa hasa maji na juisi inahitaji nini na nini na mtaji wa kianzio wa bei gani?
Aksanteni sana, naomba kuwakilisha.