Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

Wakala wa rangi za nyumba (plascon)

William Mwita

Member
Joined
Oct 29, 2023
Posts
96
Reaction score
74
IMG-20240207-WA0006.jpg
IMG-20240207-WA0007.jpg
IMG-20240207-WA0003.jpg
Habari
karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira
Karibu sana

mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms
Whatsapp 0715 128 827
 
🤣 🤣 🤣 tangazo lake ni zuri ila kwa haraka alizonazo ameshindwa kuelezea jinsi wanavyoweza kutumia application ya uchanganyaji rangi kwa komputer ili kukupatia rangi halisi unayoitaka.
Yani kozi ya miezi mitatu unataka ni-summarize ktk paragraph mbili au tatu then mategemeo yako Kwamba utaelewa.
Pia lengo la tangazo ni kuonesha huduma ya uchanganyaji wa Rangi tunayotoa na SIO huduma ya kufundisha jinsi ya kuchanganya Rangi.

Kwa wakati Mwingine Fikiri Mara mbili kabla ya kuandika upuuzi kama ulioandika.

Anyway Karibu CHAMPION PAINT SHOP Tunapatikana Mwenge-lufungira Kwa huduma Nzuri.
 
Computer inachanganya vipi rangi?
Kwa kifupi Kuna baadhi ya Rangi ni ngumu kupatikana hivyo ofisini kwetu Kuna huduma ya uchanganyaji wa Rangi ili kupata Rangi ambayo mteja anahitaji, hivyo tunatumia kompyuta pamoja na mashine maalumu kuchanganya Rangi hizo.
Pia tunauza Rangi ambazo hazijachanganywa
Karibu.
 
Yani kozi ya miezi mitatu unataka ni-summarize ktk paragraph mbili au tatu then mategemeo yako Kwamba utaelewa.
Pia lengo la tangazo ni kuonesha huduma ya uchanganyaji wa Rangi tunayotoa na SIO huduma ya kufundisha jinsi ya kuchanganya Rangi.

Kwa wakati Mwingine Fikiri Mara mbili kabla ya kuandika upuuzi kama ulioandika.

Anyway Karibu CHAMPION PAINT SHOP Tunapatikana Mwenge-lufungira Kwa huduma Nzuri.
bwana mdogo, tuliza akili na pia jifikirie mara tatu ili umuelewe mtu ameandika nini kwa nini kabla ya kumjibu. ukifuatilia ulivyoandika na mimi nilivyomjibu aliyekujibu hukupaswa kuniandikia hivi. unajifanya unaelewa kumbe pumba tuuuu. somo upya kilichoandikwa.
usisahau kujibu swali uliloulizwa na dr Matola ... computer inachanganya vipi rangi ambalo mimi nilimjibu.
 
Hakuna ulichoeleza

Ulichoandika ni upuuzi yani ni upuuzi wa Hali ya juu na ume-comfirm kuwa wewe ni mpumbavu.
Mimi ni mfanyabiashara nauza Rangi na Lengo ni kumuuzia mteja Rangi tu na Sio kutoa elimu juu ya process zote za uchanganyaji wa Rangi.

ila vizuri inaonekana unapenda kujifunza Basi siku mfate bakheresa au mo dewji ukawaulize process zote juu ya utengenezaji wa vinywaji ktk viwanda vyao.
 
William Mwita Karibu JF
uwe Mvumilivu Tupatie Bei Achana Kusema Piga Number
weka Mambo Hadharani
 
Tucheck Kwa mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms
NB: BEI HUTOFAUTIANA KULINGANA NA AINA YA RANGI PIA OFISINI KWETU TUNATOA RISITI ZA EFD
KARIBU
 
Nimekuelewa ila ndugu yangu Rangi zipo Zaidi ya 1000, haitawezekana kuweka bei zote Kwa idadi hiyo na kumbuka kila Rangi ina bei Yake.
Karibu ofisini kwetu Mwenge-lufungira, utachagua Rangi upendayo na kama unahitaji mzigo mkubwa Zaidi tunakuuzia Kwa bei ya kiwandani.
mawasiliano 0789 026 963 calls & Sms
 
Hakuna ulichoeleza

Ulichoandika ni upuuzi yani ni upuuzi wa Hali ya juu na ume-comfirm kuwa wewe ni mpumbavu.
Mimi ni mfanyabiashara nauza Rangi na Lengo ni kumuuzia mteja Rangi tu na Sio kutoa elimu juu ya process zote za uchanganyaji wa Rangi.

ila vizuri inaonekana unapenda kujifunza Basi siku mfate bakheresa au mo dewji ukawaulize process zote juu ya utengenezaji wa vinywaji ktk viwanda vyao.
Dah unafokea wateja hadi sio poa....
 
Zumbukuku ulimwengu uko huku!
hujielewi, mpumbavu wewe! Ungejielewa uzi huu ungekuwa wa kuitangaza biashara yako sio wa kutukana watu. sasa kama unataka matusi.... twende kazi
 
Back
Top Bottom