William Mwita
Member
- Oct 29, 2023
- 96
- 74
🤣 🤣 🤣 tangazo lake ni zuri ila kwa haraka alizonazo ameshindwa kuelezea jinsi wanavyoweza kutumia application ya uchanganyaji rangi kwa komputer ili kukupatia rangi halisi unayoitaka.Computer inachanganya vipi rangi?
Yani kozi ya miezi mitatu unataka ni-summarize ktk paragraph mbili au tatu then mategemeo yako Kwamba utaelewa.🤣 🤣 🤣 tangazo lake ni zuri ila kwa haraka alizonazo ameshindwa kuelezea jinsi wanavyoweza kutumia application ya uchanganyaji rangi kwa komputer ili kukupatia rangi halisi unayoitaka.
Ndio huduma hiyo ipo na tunatoa huduma Nzuri Sana, Kwa maelekezo Zaidi tutembelee katika ofisi zetu zipo Mwenge-Lufungira Dar es salaamComputer inachanganya vipi rangi?
Bei zinatofautiana kulingana na Rangibei?
Kwa kifupi Kuna baadhi ya Rangi ni ngumu kupatikana hivyo ofisini kwetu Kuna huduma ya uchanganyaji wa Rangi ili kupata Rangi ambayo mteja anahitaji, hivyo tunatumia kompyuta pamoja na mashine maalumu kuchanganya Rangi hizo.Computer inachanganya vipi rangi?
ungeweza kuweka sample ya bei mfano emulsion 20ltr, silk 10ltr n.k.Bei zinatofautiana kulingana na Rangi
Kwa mawasiliano 0789 026 963
Pia Karibu zaidi ofisini kwetu Mwenge-lufungira
bwana mdogo, tuliza akili na pia jifikirie mara tatu ili umuelewe mtu ameandika nini kwa nini kabla ya kumjibu. ukifuatilia ulivyoandika na mimi nilivyomjibu aliyekujibu hukupaswa kuniandikia hivi. unajifanya unaelewa kumbe pumba tuuuu. somo upya kilichoandikwa.Yani kozi ya miezi mitatu unataka ni-summarize ktk paragraph mbili au tatu then mategemeo yako Kwamba utaelewa.
Pia lengo la tangazo ni kuonesha huduma ya uchanganyaji wa Rangi tunayotoa na SIO huduma ya kufundisha jinsi ya kuchanganya Rangi.
Kwa wakati Mwingine Fikiri Mara mbili kabla ya kuandika upuuzi kama ulioandika.
Anyway Karibu CHAMPION PAINT SHOP Tunapatikana Mwenge-lufungira Kwa huduma Nzuri.
Ulichoandika ni upuuzi yani ni upuuzi wa Hali ya juu na ume-comfirm kuwa wewe ni mpumbavu.bwana mdogo, tuliza akili na pia jifikirie mara tatu ili umuelewe mtu ameandika nini kwa nini kabla ya kumjibu. ukifuatilia ulivyoandika na mimi nilivyomjibu aliyekujibu hukupaswa kuniandikia hivi. unajifanya unaelewa kumbe pumba tuuuu. somo upya kilichoandikwa.
usisahau kujibu swali uliloulizwa na dr Matola ... computer inachanganya vipi rangi ambalo mimi nilimjibu.
Tucheck Kwa mawasiliano 0789 026 963 calls & SmsWilliam Mwita Karibu JF
uwe Mvumilivu Tupatie Bei Achana Kusema Piga Number
weka Mambo Hadharani
Dah unafokea wateja hadi sio poa....Hakuna ulichoeleza
Ulichoandika ni upuuzi yani ni upuuzi wa Hali ya juu na ume-comfirm kuwa wewe ni mpumbavu.
Mimi ni mfanyabiashara nauza Rangi na Lengo ni kumuuzia mteja Rangi tu na Sio kutoa elimu juu ya process zote za uchanganyaji wa Rangi.
ila vizuri inaonekana unapenda kujifunza Basi siku mfate bakheresa au mo dewji ukawaulize process zote juu ya utengenezaji wa vinywaji ktk viwanda vyao.
Ni kuelimishana tuDah unafokea wateja hadi sio poa....
Zumbukuku ulimwengu uko huku!Hakuna ulichoeleza
Ulichoandika ni upuuzi yani ni upuuzi wa Hali ya juu na ume-comfirm kuwa wewe ni mpumbavu.
Mimi ni mfanyabiashara nauza Rangi na Lengo ni kumuuzia mteja Rangi tu na Sio kutoa elimu juu ya process zote za uchanganyaji wa Rangi.
ila vizuri inaonekana unapenda kujifunza Basi siku mfate bakheresa au mo dewji ukawaulize process zote juu ya utengenezaji wa vinywaji ktk viwanda vyao.
Huna unachoelimisha zaidi ya kutukana. mjinga hujitambuiNi kuelimishana tu
Anyway Karibu CHAMPION PAINT SHOP Kwa huduma Nzuri, TUNAPATIKANA MWENGE-LUFUNGIRA
☎️0789 026 963
Dah unafokea wateja hadi sio poa....