KERO Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) waboreshe Kitengo cha Customer Service

KERO Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) waboreshe Kitengo cha Customer Service

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Tumekuwa tukipata changamoto mbalimbali katika Mfumo wa BRELA lakini hakuna Customer Service nzuri, unaweza ukapiga simu siku tatu na wasipokee pia system yao inachangamoto sana.

Changamoto ni pale unapokuwa na shida ya kupiga simu haipokelewi no +255 22 221 2800

System yao ni pale mtu anapokuwa anasajili kampuni akakosea kipengele kimoja wanataka uombe maombi ya kufuta usajili na pesa hairudi.

Kwa nini wasitupe option ya kuweza kusahihisha makosa mfano katika kipengelie Cha share distribution ukikosea ukaenda hapo inabadilika na kuwa 0 na huwezi kuediti ila wanataka uandike barua ya kufuta maombi
 
Back
Top Bottom