Wakala wa uuzaji wa Jumla Cement aina ya SIMBA Arusha

Erick Richard R-Madrid

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2014
Posts
399
Reaction score
282
Salamu Wakuu


Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha.

Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza CEMENT za Kampuni ya SIMBA kwa bei ya Jumla. Kwa sasa nipo mkoa wa Arusha, hasa ukizingatia pia Arusha kuna kiwanda cha SIMBA CEMENT ambapo uzalishaji wake unapatikana kwa wingi.


Asante.
 
Arusha Kuna kiwanda Cha cement???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…