TANZIA Wakala wa wachezaji, Mino Raiola afariki dunia

TANZIA Wakala wa wachezaji, Mino Raiola afariki dunia

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
499DDA35-1D60-4254-986F-C29CD47F94A5.jpeg

Mino Raiola (54) ambaye ni Wakala wa Wachezaji wengi amefariki dunia baada ya kuugua kwa miezi kadhaa

Raiola alilazwa katika hospitali ya Milan mnamo Januari 2022 na kufanyiwa upasuaji lakini aina ya ugonjwa wake haikubainishwa

Wachezaji waliokuwa wakiwakilishwa na Raiola ni;

PlayerNationality
Erling HaalandNorway
Matthijs de LigtNetherlands
Gianluigi DonnarummaItaly
Paul PogbaFrance
Marco VerrattiItaly
Stefan de VrijNetherlands
Ryan GravenberchNetherlands
Hirving LozanoMexico
Moise KeanItaly
Justin KluivertNetherlands
Henrikh MkhitaryanArmenia
Zlatan IbrahimovicSweden
Mario BalotelliItaly
Alessio RomagnoliItaly
Donyell MalenNetherlands
 
Alikua ni agent mkubwa na mwenye pesa ndefu! Daaah mkwanja mrefu ameuacha... Hakika kifo ni ndoto pekee ambayo kila mmoja wetu ataitimiza tu... R.I.P
 
Alikua ni agent mkubwa na mwenye pesa ndefu! Daaah mkwanja mrefu ameuacha... Hakika kifo ni ndoto pekee ambayo kila mmoja wetu ataitimiza tu... R.I.P
Angekunywa bia na kula mademu sanaaa kabla ya kufa eeeeh?
 
Mbele yako, nyuma yetu nakumbuka tulipokutana Dubai 😭😭. Kimwili haupo nasi ila tutakukumbuka daima milele! Suoer agent huna roho ya choyo.😭
 
Ukichunguza kwa undani utagundua jamaa alikuwa anauwezo wa kumfanya mchezaji awe kiburi au laah. Mfano
Paulo Pgba
Baloteli
Zlatan
Inaonekana jamaa alikuwa na nguvu sana kwenye soka
 
Alikuwa agent wa yaya toure pia akagombana na yule mbaguzi wa catalounya?
 
Jamaa kala hela , na alikuwa anajua namna ya ku connect dot sana ili aishi , lakini kwa mapenzi yake M/mungu leo hatunye
 
Aliwahi kukosana na Sir Alex enzi za uhai wake kuhusiana na dili la Pogba alivyoondoka Man Utd kwenda Juve.

Dunia ya soka imempoteza mmoja ya wakala nguli na mtata...pumzika kwa amani Mino
 
Duh!

Kufa kufaana, nadhani wachezaji wengi watajisogeza kwa super agent Jorge Mendes
 
Back
Top Bottom