wakali 10 bora wa hiphop duniani

ushiboy u cant be serious,we are talkin about hip hop.
 
Hii list imekuja mahali ambapo watu Hip hop hawaijui

Mnamweka wapi Guru,KRS one,Talib Kweli au nyie mnalenga kwene nini?? Mwsho chid na temba nao utasema wanafanya hip hop
 
Haya list sahihi hii hapa.
1-KRS-ONE
2-Rakeem
3-2 Pac
4-Nas
5-Ice Cube
6-Wu Tang Clan
7-Dr Dre
8-Onyx
9-Eminem
10-The Game.
Kama unaijua Hip Hop najua utakubali, ingawa list ni ndefu saana lakini kwa sasa hawa jamaa wako sawa kabisa.
 
1.tupac
2.eminem
3.big
4.JAY Z
5.NAS
6.snoop dog
7.TI
8.sugu
9.jay moe
10.fid q
 
The game mtoe weka twalibu kweli au common
 
Haya list sahihi hii hapa.
1-KRS-ONE
2-Rakeem
3-2 Pac
4-Nas
5-Ice Cube
6-Wu Tang Clan
7-Dr Dre
8-Onyx
9-Eminem
10-The Game.
Kama unaijua Hip Hop najua utakubali, ingawa list ni ndefu saana lakini kwa sasa hawa jamaa wako sawa kabisa.
List iko poa lkn game anafanya hip hop ila kwa jinsi ulivoorodhesha hapaswi kuepo hapo,japo ni msanii mkali
 
1. Rakim
2. 2pac
3. Big
4. Krs1
5. Nas
6. Common
7. Ice Cube
8. Master Ace
9. Big Daddy Kane
10. Scarface
11. Eminem
12. Az
13. Method Man(wu tang)
14. Andre 3000 (outkast)
15 Talib Kweli
16 Mobb Deep
17 Snoop Dog
18 Mc Lyte
19 Moss Deff
20 Immortal Technique

kwa Anaejua Hiphop Hawa Ndo Chart yake Mayb Tutapishana namba Tuu... Mwingne atamuweka nas namba 1 mwingne rakim ila hii haina ubish... Mtu anaemuweka lil wayne , na the game ana bug... The game mkali ila kwa hii chart hastahil kabisaaaa
 
Haya list sahihi hii hapa.
1-KRS-ONE
2-Rakeem
3-2 Pac
4-Nas
5-Ice Cube
6-Wu Tang Clan
7-Dr Dre
8-Onyx
9-Eminem
10-The Game.
Kama unaijua Hip Hop najua utakubali, ingawa list ni ndefu saana lakini kwa sasa hawa jamaa wako sawa kabisa.

No Comment Umemaliza Mkuu......, Halafu Ipycalypse Upo?? Kitambo sana sikuoni ,vp Unamzungumziaje KENDRICK LAMAR ??,
 
Last edited by a moderator:
Yah man it's true...any topten without Joe Crack (Fat Joe) name in it is Obsolete.
 

adre umechemka kaka, kwa hip hop ipi hiyo?
 
dah! unajua nilikua nasoma post za mwanzo nikawa nashangaa, una mention hiphop bila kumtaja KRS 1??????, thanks mzaz.
 
adre umechemka kaka, kwa hip hop ipi hiyo?

dre Ana Mafanikio sana Ktk Hip Hop Ila As A Producer... sidhan Kama Kuna Nigga With Attitude Aliefanikiwa Sana Ktk Hip Hop In Term Of Mc Kama Ice Cube.... ujue Vgezo Mm Nlivyotumia Ktk Chart Hii Sio Kua Nlikua Napenda Wimbo wa Flan Hapana... mm Nmeangalia Influence Ya Mtu Ktk Jamii, Impact mtaan.... hapa Ndo Tunakuja Kuwatoa watu Kibaoooo Watu Kama Outkast Nymbo zao Zlikua Zna Impact Kubwa Mtaan Au Hata Common... mtu alie wafumbua ma mc kibao ku a Hip Hop Tunaweza Kuiweka Katika Lugha Ya Picha.... I Used To Love Her... ndo Maana Hata Huu Wimbo Unatambulika Kama Wimbo Bora Wa Hip Hop Kuwah Tokea... pili Nmeangalia Album Walizotoa Wasanii Na Matokeo Yake Mtaan... hapo Bado Tunakiri Kua Hakuana Album Kama Illmatic By Nas .....

kitu Kinachokuja Kuwashinda Watu Hapa Wanaweka Mpaenz Yao :.. mfano Mtu Anapendelea Zaid Hardcore Rap au Horocore Rap Au Gangster Rap au Concious Rap Hapo Inamfanya Mtu Bas Unakuta Kama Napendelea Hardcore Rap na Gangster Rap Unakuta Kawatoa Kina Nas Na Common Kajaza Watu Kibaooo Wa gangster Rap... an Vice versa Is True... so Hapo Hapo Mm Mwenyewe Ningekua Naangalia V2 Nnavyopendelea Bas Nisinge waacha Lost Boys, Slumvillage, fugees Das Efx.... ila Naangalia Na wengne Walifanya Nn Na wali Leta Impact Mtaan Kias Gan???


Weka Chart Yako Na Ww Tuone
 
dah! unajua nilikua nasoma post za mwanzo nikawa nashangaa, una mention hiphop bila kumtaja KRS 1??????, thanks mzaz.

The Teacher... pia Kuna Watu Haja mweka Rakim The God Mc Pia Run Dmc, Ll cool J Na Slick Rick Aka master Of The Art Of Storry Telling...
 
mtu yoyote anayemweka lil wayne kwenye list ya hihop headz namuona yuko shallow
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…