wakali 10 bora wa hiphop duniani

wakali 10 bora wa hiphop duniani

1.Nas (illmatic)
2.2pac(dear mama)
3.Rakim
4.BIG
5.Jay Z

6.Krs one
7.Eminem
8.Common
9.ice cube
10......lauryn hill

Hivi hapo namba kumi umeshindwa hata kumchagua kichaa mmoja wa ONYX au hata wa WU TANG au hata EXZIBIT?

Umetiririka vizuri tokea namba 1 ila umekuja ingia choo cha Jini maji ya jioniii
 
Hivi hapo namba kumi umeshindwa hata kumchagua kichaa mmoja wa ONYX au hata wa WU TANG au hata EXZIBIT?

Umetiririka vizuri tokea namba 1 ila umekuja ingia choo cha Jini maji ya jioniii

nimempa tu kaupendeleo sababu ni mwanamke
 
Ifutayo ni list 10 bora wa hiphop dunian,hii updated list kwa jinsi nionavyo,weka yako pia
1.jay z
2.talib kweli
3.2pac
4.eminem
5.snoop dog
6.dr dre
7.nas
8.young jeezy
9.ricky rozaaay
10.lil wayne

aisee kuanzia namba nane umeenda chaka
 
Back
Top Bottom