Wakali wa assist VPL, kweli Yanga mnajua kupiga kelele

Yanga kwa sasa wanakosa kiungo mbunifu
 
Pira la Vyura halihitaji assist....! Pasi 2 tu tayari watu wamejazana golini...! Sasa hapo assist ya nini...! Huu ndo mpira asilia wa Yanga huyo Kaze wamemtoa kafara...!
 
Assist 9 halafu mwisho wa mechi mnashangilia sare!! Basi sawa.
 
Sasa hizo assist zimewapeleka nafasi ya ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…