Zemanga zoze
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,016
- 1,722
Roho 7 yupo aliwahi kuwa msanii wakati anatoa nakupenda Hip Hop na waite police alikuwa ndio anamaliza udsm saivi ni Luteni kanali alishaacha musicJina geni hilo anatokea pande zipi ungerusha hiyo clip yake tuisikilize
Exactly kuna vichwa KamaWabongo wengi wanapenda nyimbo nyepesi hiphop inahitaji kichwa kwasababu kule ni content zaidi kuliko midundo cha pili inanyimwa promo redioni Kisa sio nyimbo za kuchezeka
Usiwe na shaka.....Daaa!!; usinifanyie HIVYO,samahani lakini kama nimekuudhi
Yap,nimeiona lakini nikataka kuthibitisha kwa sababu sijazoea kuona watu wa jinsia ya kike wakipenda haya mambo ya utamaduni wa hiphopUsiwe na shaka.....
Ila huoni avatar?
Ohh sawa...Yap,nimeiona lakini nikataka kuthibitisha kwa sababu sijazoea kuona watu wa jinsia ya kike wakipenda haya mambo ya utamaduni wa hiphop
Daaa!!!! Aisee napenda sana wasichana wanaoelewa hiphopOhh sawa...
Napenda sana hiphop
Zilipendwa kweli!
Nitakutafuta one day nikupe zawadiOhh sawa...
Napenda sana hiphop
Hujui hiphop mkuu ungefanya kuemdelea tu na singeli usituingilie kabisaImebaki Hip hop ya mtu mmoja tu, Fid Q (The City Icon) walio baki ni wabana Pua tu, na zaidi Weusi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho 7 yupo aliwahi kuwa msanii wakati anatoa nakupenda Hip Hop na waite police alikuwa ndio anamaliza udsm saivi ni Luteni kanali alishaacha music
ulimi mbili
si luteni kanali bro ni lutenRoho 7 yupo aliwahi kuwa msanii wakati anatoa nakupenda Hip Hop na waite police alikuwa ndio anamaliza udsm saivi ni Luteni kanali alishaacha music
ulimi mbili