Wakali wa hip hop

Wakali wa hip hop

Wabongo wengi wanapenda nyimbo nyepesi hiphop inahitaji kichwa kwasababu kule ni content zaidi kuliko midundo cha pili inanyimwa promo redioni Kisa sio nyimbo za kuchezeka
 
Jina geni hilo anatokea pande zipi ungerusha hiyo clip yake tuisikilize
Roho 7 yupo aliwahi kuwa msanii wakati anatoa nakupenda Hip Hop na waite police alikuwa ndio anamaliza udsm saivi ni Luteni kanali alishaacha music

ulimi mbili
 
Joh Makini akiamua kuacha kumfatisha Nikki wa pili na kuimba utumbo utumbo basi Hip Hop itarudi mahala pake
 
Back
Top Bottom