huko kijijinh mwarabu alitoa ushuzi kwa sauti ya juu pale mkutanoni watu walimcheka na asiwe na furaha ikawa kila alipopita taarifa ni moja tu mwarabu kajamba mkutanoni mwarabu alihama kwa aibu kwa muda wa miaka kumi baadae alirudi akiamini watu watakua wamesahau akiwa njiani akawakuta akina mama wanauliza hivi mtoto wako ana umri gani akamwambia ana miaka15 na mungine akauliza na wa kwako ana umri gani akamwambia sijui ispokua ni kipindi kile mwarabu alijamba mkutanoni basi yule mwarabu alposikia vile aligeuza na kurudi huku akinung'unika "aha bado hawajasahau tu.