Wakali wa jokes mko wapi?

Wakali wa jokes mko wapi?

chapaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
2,349
Reaction score
205
jukwaa hili kwa sasa limekimbiwa na wale wakali wa kutoa thread za kuondoa stress,tunawaombeni mrudi bana watu tuongeze cku za kuishi maana haya maisha full of stress.
nawasilisha
 
huko kijijinh mwarabu alitoa ushuzi kwa sauti ya juu pale mkutanoni watu walimcheka na asiwe na furaha ikawa kila alipopita taarifa ni moja tu mwarabu kajamba mkutanoni mwarabu alihama kwa aibu kwa muda wa miaka kumi baadae alirudi akiamini watu watakua wamesahau akiwa njiani akawakuta akina mama wanauliza hivi mtoto wako ana umri gani akamwambia ana miaka15 na mungine akauliza na wa kwako ana umri gani akamwambia sijui ispokua ni kipindi kile mwarabu alijamba mkutanoni basi yule mwarabu alposikia vile aligeuza na kurudi huku akinung'unika "aha bado hawajasahau tu.
 
hahahahahaaaa!!mwarabu kajamba hatariiiiii
 
mohamed Shossi uko wapiiii? Lete zile jokes zako kali bana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom